FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Hadi refa katimiza alichokitaka
Yanga mlipofunga dakika ya 49 wakati hakukuwa na kipindi chochote ambapo mpira ulisimama ulichekelea eh? Leo wachezaji wa SFG walikuwa wanajiangusha na kujidai kuumia na kupoteza muda mwingi!! Ni uto tu ambaye hakuwa analiona hili!!
 
Mkuu angalia vizuri wakati Saido anapiga mchezaji wa Singida aligusa ule mpira ndio maana kipa aliamua kukomaa japo ulikuwa una uelekeo wa kutoka
 
Dakika za nyongeza huo haziongezwi hata sekunde, angalieni mechi ya fainali Super Cup Kati ya Memolodi Sundowns na wale Waarabu iliyochezwa South Africa Mamelodi walifanya nini dakika za nyongeza wakati wanaongoza Kwa goli moja, msijifyatuwe akili.

Mwaka ujao Yanga Queens ndio watapelekwa kwenye hilo Bonanza la Mapinduzi, APR ndio hata msiangaike kuwaalika.
 
Mkuu angalia vizuri wakati Saido anapiga mchezaji wa Singida aligusa ule mpira ndio maana kipa aliamua kukomaa japo ulikuwa una uelekeo wa kutoka
Nenda u tube uka hakiki hakuna mchezaji yoyote wa Singida aliye ugusa mpira wakati unatoka miguuni kwa Saidoo ili iwe Kona.
Yale ni Mapenzi ya refa na Wala hakukosea ila alikusudia.
Soccer letu kivyetu vyetu.
 
Mpira usingeguswa kipa asingehangaika nao kwenda kuudakia nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…