Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure!!Don't give up.
Simba tunachotaka tunapata
Mbona kashinda sasaEndelea kuota
Yanga mlipofunga dakika ya 49 wakati hakukuwa na kipindi chochote ambapo mpira ulisimama ulichekelea eh? Leo wachezaji wa SFG walikuwa wanajiangusha na kujidai kuumia na kupoteza muda mwingi!! Ni uto tu ambaye hakuwa analiona hili!!Hadi refa katimiza alichokitaka
Mipango ya kagere[emoji1787][emoji1787]
HII PENALT BUANAView attachment 2867851
Hizo dakika zilizoongezwa kwa nini hamkuzitumia kuongeza goli?Lipi kaka
Hasira zako zinaanzia hapaYanga mlipofunga dakika ya 49 wakati hakukuwa na kipindi chochote ambapo mpira ulisimama ulichekelea eh? Leo wachezaji wa SFG walikuwa wanajiangusha na kujidai kuumia na kupoteza muda mwingi!! Ni uto tu ambaye hakuwa analiona hili!!
Yanga wamefurumishwa!! hawakuachana nalo!!Yanga hawakuwa wajinga kuachana na hili kombe.
Refa kaharibu huu mpira
Mkuu angalia vizuri wakati Saido anapiga mchezaji wa Singida aligusa ule mpira ndio maana kipa aliamua kukomaa japo ulikuwa una uelekeo wa kutokaHaya ndio maoni yangu baada ya kuangalia mazingira ya bao.
Critics wengi walikuwa wanalalamikia swala la kuongeza dakika 6 na mpira kuchezwa hadi dakika 9 ambapo ndio goli lilipozaliwa.
Kwasababu sikuangalia mpira kwa dakika hizo, na highlights hazikupi matukio yote yaliyofanyika katika muda wa dakika 75 nilioondoka nashindwa kuamua kama ni kweli hayo malalamiko yao yana reasons
Nasema hivyo kwasababu inawezekana baada ya hizo dakika 6 refa alizoongeza, Singida walikuwa wanajiangusha na kupoteza muda kimakusudi.
Kwa scenario hiyo refa kuendeleza mpira kupitiliza zile dakika 6 ni fair kabisa.
Lakini baada ya kuona highlights ya goli nimeona kulikuwa na hoja ya msingi ya critics kulaumu, lakini kwa bahati mbaya wengi hawakujikita huko.
Hoja ya msingi ambayo mimi nilitegemea kuona inazungumzwa na critics ilikuwa ni ile controversial ya kona baada ya kipa wa Singida kudaka mpira.
Kwa bahati katika kipindi cha kwanza tukio kama hilo lilitokea na mimi nilishuhudia kipa akidaka mpira kwa mazingira kama hayo hayo na maamuzi yaliyotolewa ni hayo hayo.
Utofauti ni kwenye matokeo ya hiyo kona.
So at least wangekuja na hoja hii kumlalamikia mwamuzi japo hili nalo limekaa paradoxically sana magwiji mtakuja kuweka sawa kwenye hili (lakini wakati mnaweka sawa si tayari tupo fainali)
Tumeshinda ndio kitu muhimu
View attachment 2867830
Wangeachana na kombe wangejitoa mwanzoni, unadundwa halafu unasema nimejitoa ulifuata niniYanga wamefurumishwa!! hawakuachana nalo!!
Simba na Yanga ni timu za serikali hawawezi kujitowa kwenye hilo Bonanza la kisiasa.Wangeachana na kombe wangejitoa mwanzoni, unadundwa halafu unasema nimejitoa ulifuata nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah na ndo alichofanya Refa Safi sanaHata ukipoteza muda dakika za nyongeza zinatuntwa Ili kutimiza 90' kamili.
Nenda u tube uka hakiki hakuna mchezaji yoyote wa Singida aliye ugusa mpira wakati unatoka miguuni kwa Saidoo ili iwe Kona.Mkuu angalia vizuri wakati Saido anapiga mchezaji wa Singida aligusa ule mpira ndio maana kipa aliamua kukomaa japo ulikuwa una uelekeo wa kutoka
😂 😂 😂 🤣🤣unadundwa halafu unasema nimejitoa ulifuata nini
Mpira usingeguswa kipa asingehangaika nao kwenda kuudakia njeNenda u tube uka hakiki hakuna mchezaji yoyote wa Singida aliye ugusa mpira wakati unatoka miguuni kwa Saidoo ili iwe Kona.
Yale ni Mapenzi ya refa na Wala hakukosea ila alikusudia.
Soccer letu kivyetu vyetu.