FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Juzi mechi ya Yanga Kibabage alifunga dk ya ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yale ni Mapenzi ya refa na Wala hakukosea ila alikusudia.
Sawa tukubali ni mapenzi ya refa.

Vipi mnabaki na kipa halafu mbashindwa kufunga magoli hapo napo ni mapenzi ya refa?

Ni vyema mkikubali kuwa mmeshindwa kwa sababu mmeshindwa refa hahusiki hapo bwashee 😂
 
First leg ya Wydad na Simba ziliongezwa dakika ngapi na Wydad walkaja kupata bao dakika ya ngapi?

Mliwahi kuja kuluamu Simba imehujumiwa na refa kwa kitendo hicho?
 
Mkuu angalia vizuri wakati Saido anapiga mchezaji wa Singida aligusa ule mpira ndio maana kipa aliamua kukomaa japo ulikuwa una uelekeo wa kutoka
Basi ndio maana wengi hawalaumu hilo tukio

Na kama hilo tukio lipo hivyo basi sioni point ya msingi kumkosoa refa kwa kuruhusu mpira uchekeze zaidi ya dakika zilzoongezwa
 
Nenda u tube uka hakiki hakuna mchezaji yoyote wa Singida aliye ugusa mpira wakati unatoka miguuni kwa Saidoo ili iwe Kona.
Yale ni Mapenzi ya refa na Wala hakukosea ila alikusudia.
Soccer letu kivyetu vyetu.
Kipa wa Singida alitoka nao nje kwa mapepe yake. Aliudaka kabla mpira haujatoka wote nje, kisha akatoka nao nje kama zuzu.

Ova
 
Kaudaka halafu akatoka nao nje!! Hata kipindi cha kwanza alifanya hilo kosa!!
Watu sijui mpira wanaangaliaje lakini unakuta mtu anapambana kubisha jambo la kipuuzi kabisa ile ni kona ya wazi tu, kwanza wakati saidoo anaupiga ule mpira ulimgusa mchezaji wa singida ndo ukapoteza muelekeo nakipa akataka kuuwahi kuzuia isiwe kona akaenda nao nje pia
 
Dada Mlandege kutoka visiwani Zanzibar amechaguliwa viti maalu kucheza fainal ya mapinduzi cup na dada Simba sc kutoka Tz Bara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]

Dadaziiii wakiwezeshwa wanaweza!.
Poleeeee kwa maumivuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila wanangu mmeupiga mwingi, kweli kupitia Kagere nimekuja kugundua hakiba haiozi kuna siku itakufaa tuu.
 
Kipa wa Singida alitoka nao nje kwa mapepe yake. Aliudaka kabla mpira haujatoka wote nje, kisha akatoka nao nje kama zuzu.

Ova
Mpira ulishatoka Tena sio nusu, mpira wote ata mshika kibendela hakuangaika nao, Mbaya zaidi refa alikua mita 10 inakuaje atoe maamuzi ya kushangaza.

Hitimisho nikua refa alikusudia na si makosa ya kibinadamu.
Mipira ya pembeni Refa wa kati ana saidiwa na mshika kibendera ambaye hakuona iyo Kona aliyo Iona Refa.

Ndio maana Singida hawaku hangaika na Refa msaidizi kwakua hakua na tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…