Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Juzi mechi ya Yanga Kibabage alifunga dk ya ngapiDakika za nyongeza huo haziongezwi hata sekunde, angalieni mechi ya fainali Super Cup Kati ya Memolodi Sundowns na wale Waarabu iliyochezwa South Africa Mamelodi walifanya nini dakika za nyongeza wakati wanaongoza Kwa goli moja, msijifyatuwe akili.
Mwaka ujao Yanga Queens ndio watapelekwa kwenye hilo Bonanza la Mapinduzi, APR ndio hata msiangaike kuwaalika.
Sent using Jamii Forums mobile app