FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Hapana Mkuu, haukutoka wote.

Ova
 
Ule mpira wakati Saido anapiga cross uliguswa kidogo na beki , kama haukuguswa yule kipa na kupenda kupoteza mda asingekuwa anakata mauno fasta kwenda kuudaka nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N saw we ulitaka asem kwamb ameend kukamilish ratib au
Sijaelewa kwa nini mnapingana na kocha wenu.

Kocha alishatoa uamuzi kwamba analitaka kombe, mashabiki maandazi mnasema mnatest vijana😂

Mfateni kocha afute hayo maamuzi ili mmbaki na uamuzi mmoja wa kutest vijana
 
Watu mnachonga bure tu tujikumbushe wydad anapata goli sekunde kdhaaa mbele simba hatukuwa na noma leo wanafungwa singida amfibia mnakenua midomo hovyo malalamiko yenu hayabadilishi matokeo refa kashaamua ndo basi tena
 
Singida wamezingua wenyewe kwa kupoteza muda
ndio maana refa ameongeza dakika zake yaani hiyo ndio inakuwa fundisho chezeni mpira ili kuondoa lawama kwa refa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…