FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Hii gemu ukiacha Azam max ni sehemu gani nyingine naweza kuangalia Live online wakubwa??
 
Rupia anawakanda MAKOLO

Pamoja na kuwa wameingiza Hadi wachezaji wenye mvi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa hakuna timu mpaka saizi

Naona jezi tu zinaruka ruka
 
Leo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024.

Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar imeshatangulia fainali.

Je, unaipa nafasi timu gani kuifata Mlandege?

View attachment 2867638
Kikosi cha Simba kinachoanza
View attachment 2867641
Kikosi cha Singida FG kinachoanza

- Onyango na Habibu Kiyombo wametolewa kikosini

- Mpira Umeanza

- Singida wameanza kwa kushambulia kwa kasi

- Goool Rupia anawatanguliza Simba
Rupiah anawatanguliza Nani?

Mahaba yanakusumbua Sana dogo
 
Back
Top Bottom