FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Haya ndio mambo ya uswahili nisiyoyaelewa

Unakataza vipi mchezaji asicheze dhidi yako eti kisa tu umemtoa kwa mkopo?

Na controversial inapokuja ni pale ambapo mechi zilizopita mlipokutana, huyo amecheza bila kizuizi.

Kuna mahala mpira wetu tunaukosea kwasababu hatupati kipimo halisi cha ubora kama wachezaji tunaowaona tishio wanazuiwa
 
Baleke anaenda vipi kwenye nafasi ya winga, hapo kati asumbue nani?
 
Back
Top Bottom