FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Kila la heri Singida, Kila la heri Young Africans.
 
Simba Nguvu moja
FB_IMG_17048848794173113.jpg
 
Leo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024.

Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar imeshatangulia fainali.

Je, unaipa nafasi timu gani kuifata Mlandege?

View attachment 2867638
Kikosi cha Simba kinachoanza
Hiki ni kikosi cha mauaji wallah
 
Nenda Simba Nenda Sisi Zetu Dua Daima sisi tuko nyuma yako [emoji123][emoji123]

Hili kombe letu bila wasiwasi wowote , sema Amina ewe uliye sebreni kwako unasubiri kuangalia mpira na wewe uliye kwa shemeji yako ila ni mwanaSimba damu damu .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom