Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Mnyama 🔥All the Best Mnyama Mkali sana.
#nguvumoja#...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnyama 🔥All the Best Mnyama Mkali sana.
#nguvumoja#...
Nilishtuka kuona 😳Chonde chonde usikimbie baadae, baki hapa ushuhudie 'yasikitishayo 20:15 +'
Singida apigwe kipigo cha mbwa kokoMnyama 🔥
Yaani wamejaa tele hapa na kwenye vibanda kwa viherehere vyao 😁😁wengine washatolewa lakini awaishi kiherehere.
😂🤣😁Singida apigwe kipigo cha mbwa koko
😂🤣😁Singida apigwe kipigo cha mbwa koko
singida hii hii?Singida apigwe kipigo cha mbwa koko
Na atapigwa tu!
Najua huendi kulala hadi mechi iishe so acha kutoroka baki hapa hapa ushuhudie mashabiki bora na wastaarabu tunavyotiririka na comments za unyama mwingi 😂Mida ya kulala hii Mkuu kesho nitakuja nikukumbushe
Bado dakika 5.singida hii hii?
Kiongozi Wa uto jamiiforums nipo hapa kazi mnayo Leo😂🤣😁😁Yaani wamejaa tele hapa na kwenye vibanda kwa viherehere vyao 😁😁
Baadae usikimbie hapa bwasheeNajua huendi kulala hadi mechi iishe so acha kutoroka baki hapa hapa ushuhudie mashabiki bora na wastaarabu tunavyotiririka na comments za unyama mwingi 😂
Anhaa! Kumbe umeshajuwa uto B wanapigwa.Mla ndege kajipanga kumla mpaka simba luwala.
Lijue hilo.
Yaani mm huyu nikimbie?Baadae usikimbie hapa bwashee
Leo watafungwa hawaNafasi ya pili kujiuliza wapi walikosea
Na bila shaka mechi ya leo navyoona itaisha bila kupata majibu, watakuja NBC tena kujiuliza
🤣😁😁Yaani mm huyu nikimbie?
Nini cha kunikimbuza hapa?