GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Utalala wamoto leoDaah ili mechi kama movie ni ya kihindi, Asante Kagere duuuuuuu....... na kona yenu ya mchongo daaaaaahhh
Shushia na dawa ya maumivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utalala wamoto leoDaah ili mechi kama movie ni ya kihindi, Asante Kagere duuuuuuu....... na kona yenu ya mchongo daaaaaahhh
Naunga mkono hojaMchezo umekwisha lakini makosa ya mwamuzi yamewacost Singida FG, Goli la Simba limepatikana dakika ya 98 wakati ziliongezwa dakika 6, 90+6=96.
Nini kimetokea?Apostle kuna muujiza hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maajabu ni yapi hapo? Mtumie akili basi kujadili. Dk 6 ni za kucheza sio za kujilazaHii ni maajabu
View attachment 2867808
SafiAtapokea[emoji3]
Mtoto wa Uto kabaki na kipa ila akashindwa kufunga goli 😂😂Naskia kelele nini shida
Unafkir UTOPOLO wana Akili? Sijawahi ona Shabiki wa Yanga mwenye akili timamu.. sijawahi kuona.. na haitotokea milele.Baadhi ya mashabiki wa kibongo ni kama mambuzi tu.
Kwenye ile mechi kati ya Simba Sc na Wydad kule ugenini ziliongezwa dakika ngapi? Na Simba Sc akaja kufungwa dakika ya ngapi?
Tulivyolalamika mashabiki wa Yanga Sc waliponda sana, ila leo kwakua haiko upande wao ndio wanaona tatizo?
Mimi sioni tatizo lolote kwa refa.
Amumize mwigulu nchembaKagere atupe majibu mazuri ya hii penalty. Lengo hasa lilikua ni nini
Ulivyoandika huu ujumbe inaonekana upo serious sana na soka.sijauliza matumizi
nimeuliza ziliongezwa sita huyu hadi zinafika tisa alipata wapi zingine ikinijibu ndo tuje zilitumiwaje ndo ntakuuliza kona ilitokea wap
Ushirikina wapi wakati refa kawapeleka hadi dakika 98 wakati zimeongezwa 96Ushrikina umefanywa na Utopwinyo ili tutolewe lakini wameshindwaaa tunasonga mbeleeee
Uzuri ukweli mnaujua mioyoni mwenu.Utalala wamoto leo
Shushia na dawa ya maumivu
🤣😂😁Kubalini tu mmefungwa msijiongezee stress
Kunya anye kuku akinya BATA 'kaharisha' 😁👏Majibu ya Khalid Aucho na wenzake kukosa penati mliyapata?
Waambie hao.....Ziliongezwa Nane
Azam wamekosea kuandika
Hata singida wameshindwa kutumia makosa ya mwamuzi kuiadhibu simbaMchezo umekwisha lakini makosa ya mwamuzi yamewacost Singida FG, Goli la Simba limepatikana dakika ya 98 wakati ziliongezwa dakika 6, 90+6=96.