FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

Hili hata mi naliona sana kipindi Cha pili Simba hawatarejea uwanjani nadhani tutumie technique kipindi Cha kwanza tuwale 3 ili warudi ndio tuweke 5
Prediction: First half hiyo tar 20 April, Yanga ina uwezo wa kuifunga Simba more than 4 goals, na hadi kipindi cha pili around 75 mins magoli 6 ni uhakika na Simba wataleta vurugu na red cards zitatolewa, refa atapigwa na baadhi ya Simba players ngumi ya pua na sikio ataanguka chini, alafu red cards kibao, wachezaji wa Simba watakimbia uwanja, vurugu zitaanza mechi itaishia hapo..
 
Edit mkuu Kuna namna umechanganya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…