Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalau ili tupo sawa.. Nilivoona unamkubali Lucas nikajua huwezi kua Mwananchi..Mimi ni Yanga...!💛💚🤸♀️
Kila siku nakujibu
Wale mbona kawaida tu tar 20 tunawalawitiHawa tuwapige mbili dk 70 tutoe wachezaji wote muhimu,tuna shughuli yetu wiki ijayo.
Nimesoma haraka haraka iyo Halftime nikaona Hatimaye
Kabeeesaaa. 🤸🏻🤸🏻
Ubuntu bothoWamejifunga bana
Lucas wengi hamumkubali ila mimi na yeye tunaelewana sana, Namkubali bila kujali uchawa wakeAngalau ili tupo sawa.. Nilivoona unamkubali Lucas nikajua huwezi kua Mwananchi..
Lilikuwa swala la muda tu Mkuu.Gari la Guede limewasha moto 🔥
Wanafungwa Singida linateseka Kolo.Wanacheza Mama na mchepuko wake maigizo FC
UBUNTU BOTHO
Hapo sawa. Huwezi chukiwa na kila mtu. Kikubwa Yanga bingwa.Lucas wengi hamumkubali ila mimi na yeye tunaelewana sana, Namkubali bila kujali uchawa wake
Tusisahau pia kuwa ndiye aliyemfanyia setup Azizi Ki kwenye ule mshuti wa kule Loftus. Kama kusingekuwa na figisu angekuwa kahusika katika kuamua mechi zote za kwenda hatua nyingine kwa kufunga na pia kutoa assist.Huyu ndiye alitupeleka robo fainali ya CAF.
Yeye ni mtu wa magoli muhimu.
😂😂😂😂Inyee Gwede gwede[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169]
ujasiri wa kunisahau Half american kautoa wapi..?!Ongezea na Carleen upande wa Yanga SC
We ni msela!Kimoyomoyo nimesema Guede ni mchezaji bora sanaaa
Angle aliyokuepo tena yupo na mpinzani pembeni ni vigumu kufunga lakini yeye kaweza.
Watu weusi muda wote mnawaza ngono tu hata kwenye mambo yasiyohusiana, inaonekana unapenda sana hiyo michezo siyo, mnaongea vitu vya ajabu kwa kisingizio cha utani wa jadiWale mbona kawaida tu tar 20 tunawalawiti
Mimi ni mwanamkeWe ni msela!