Bado sana game,Pole sana
We mzee nenda kachukue kiroba cha mchele kule Mbarali, Bocco hakuhusu.Eti John Bocco ndio mshambuliaji tegemezi pale Simba na ndio wanamtegemea awapeleke semi final cafcl[emoji23][emoji23]
Hivi mnadhania Nusu fainal ya Caf ni ndondo cup eeh?
Na Uto pia hawana furaha 😂HT
Singida 0-1 Simba
Mashabiki wa Simba hawana furaha
Viroba viwili ni vizito sanaWe mzee nenda kachukue kiroba cha mchele kule Mbarali, Bocco hakuhusu.
Viroba viwili ni vizito sana
SahihBado sana game,