FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

Nilijua tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ungeijua club bingwa usinge kuwa unaishia makundi ukijitahidi robo
Ila wewe unayetolewa raundi ya awali ndio inaijua kuliko anayeishia robo! Wenye akili huko ni wawili ila Hersi tunamfikiria kumuongezea awe wa tatu maana amesema lengo la Yanga lilitimia walipoingia makundi, huku kwingine hawakuhitaji!
 
Back
Top Bottom