Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tayariiiiii hukoMuite Che Malone Fondo...
Ila wewe unayetolewa raundi ya awali ndio inaijua kuliko anayeishia robo! Wenye akili huko ni wawili ila Hersi tunamfikiria kumuongezea awe wa tatu maana amesema lengo la Yanga lilitimia walipoingia makundi, huku kwingine hawakuhitaji!ungeijua club bingwa usinge kuwa unaishia makundi ukijitahidi robo
ngoja singida ashinde mechi yake hiiKila mtu ashinde mechi zake....
hahahahha che malon fondo hahahahaMabeki wetu wamezubaa