FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

By the way, Simba tunahitaji Droo yoyote ile turejee kwenye usukani wa ligi.

Kwa upande mwingine, tunajua na kila mtu anajua SFG lazima afe.
 

Attachments

  • PSX_20231008_092116.png
    28.2 KB · Views: 3
Leo tunajua tunacheza na timu mbili Ila yote kwa yote leo wachezaj wa Simba wavuje jasho Sana ufather wa kutembea uwanjan uachwe kabisa game ya Leo ni ngumu Sana.
 
Yes, tunajua leo tunacheza ya yanga iliyo jificha kwa kivuli cha singinda fountain gate ukweli ni kwamba iyo million 100 ya GSM aliyo waahidi leo mtaitapika.
Hivi ni kwanini Kila Mnyama Simba akicheza timu pinzani zinaahidiwa pesa kama zawadi ya ushindi ?
Hadi Azam ya Chamazi. KMC, Prisoni, Ndanda na wengine.

Kuna nini Simba.
 
Mechi imeshachezwa,mwenyeji amemfunga simba 1-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…