Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Kuna Ile "GSM effect".Mwigulu effect kwenye ligi
Kila la heri SINGIDA BIG STARSMatch Day
📅 October 8, 2023.
⚽ NBC Premier League
Singida Fountain Gate vs Simba Sc
🏟️ CCM Liti, Singida.
⏰ 4:00Pm.
Haya, kumekucha vyema.
Baada ya michezo ya jana ya ligi kuu Tanzania Bara kupigwa,
Tukishuhudia Yanga kutoa kipigo kwa Geita Gold cha 3-0
Huku Ihefu akizamishwa na KMC kwa 1 - 0
Leo ni zamu ya Wanasingida (Singida Fountain Gate dhidi ya Simba Sports Club ya Dar es salaam.
Mchezo utapigwa mida ya saa kumi jioni.
Viva Simba, Viva Mnyama.
Tutarudi kileleni kwa kishindo.
#Nguvu moja#
Kwanini kila yanga akishinda mnasema amecheza na timu dhaifuHivi ni kwanini Kila Mnyama Simba akicheza timu pinzani zinaahidiwa pesa kama zawadi ya ushindi ?
Hadi Azam ya Chamazi. KMC, Prisoni, Ndanda na wengine.
Kuna nini Simba.
Acha akae nje ili akili zimrudie, kichwa kilianza kuvimba baada ya kuona anaimbwa sana. Sehemu ya kufunga (nafasi ya wazi) analazimisha kuchop.Kocha kaanza na Bocco baleke nje kmmk