Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiufute mpaka tukutane mzunguko wa piliMbarali nasikia hawajaufuta ule ubao unaoonesha wao 2 nyie 1.
😝😝😝😝
Sahihi mkuu bado unasomeka vile vileMbarali nasikia hawajaufuta ule ubao unaoonesha wao 2 nyie 1.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Nasikia mnajiapiza Lazima washuke daraja kama wale jamaa zenu MBAO wa Mwanza.Wasiufute mpaka tukutane mzunguko wa pili
Au alizeti zinakwenda kukamuliwa...Kuna kiumbe kinaenda kutolewa meno
Hashuki mtu Ligi hapa,ila Cha moto watakionaNasikia mnajiapiza Lazima washuke daraja kama wale jamaa zenu MBAO wa Mwanza.
Mpaka walie nyauuuuuuuuuKuna kiumbe kinaenda kutolewa meno
Tff waliangalie hili, kuna upangaji wa matokeo wa wazi baina ya Uto na singida. Huwa wanakaza mno wakicheza na simba ila wanakua laini sana wakicheza na Uto .. Mwigulu effect kwenye ligiHawa jamaa huwa wanamkazia Simba sanaaaa.
Sijui kama leo watatoboa Simba?
Hiyo mechi sio nyepesi kwa Simba Kama unavyoichukuliaMnyama ameshafanya cover yake vizuri ya uwanja.
Singida atake atafungwa, asitake atafungwa.