Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Marouf Tchakei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini Mkuu..Acha akae nje ili akili zimrudie, kichwa kilianza kuvimba baada ya kuona anaimbwa sana. Sehemu ya kufunga (nafasi ya wazi) analazimisha kuchop.
Ana kau-Morisson fulani hivi.
Saido pekee ndio naona hatufai kwenye mechi ya leo kutokana na upotezaji wake wa mipira, tujipe moyo kwenye sub japo ndio hivyo huyu kocha ni kicwa ngumu sana kwenye swala la SUB.Lakini Mkuu..
Huyu coach ni kama hamsomi mpinzani na uwezo wa team yake na madhaifu.
Match ya mbeya
Saido, Ngoma walipwaya na bado tupo mikoani hawa wahya wasianzie bench?
Timu zitazofungwa leo zipo tatu (Fountain gate, Singida Big stars na wale ndugu zake Mwigulu)Leo baada ya dk 90 tutakuwa tumezifunga timu mbili yani Singida na dada zao kutokea mitaa ya twiga na jangwani