FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

Safu za ulinzi pande zote zipo imara mpaka dakika hii
 
Singida wanaruka ruka tu hapa.
 
Natabiri Singida kuchoka Mapema
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Huu ndio muda wa kufunga dish la azam
Maana wameshusha mpaka wakashusha tena 😂
 
Ilitakiwa baleke aanze hii mech kmmk huyu sio kocha
 
Dakika ya 10
Singida Fountain Gate 0 - 0 Simba
 
Back
Top Bottom