Usitusahau na mashabiki na sisi tuna mwendelezo wetuRobertinho anaendeleza rekodi yake ya kutopoteza mechi ya ligi kuu
Naona unawapangia kabisa na matokea,ahaaaaaAzam tunawakanda kirahisi sana.
October 25, Wanacheza na Uto. wana droo
Ugumu wake ni upi?Yanga au Azamu kuwa Bingwa msimu huu ni ngumu sana kwa kweli...
Hivyo hivyo ila ndo tunapepea mjue,enyi utopolosHatuna furaha
Vp limerudi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utafariki kwa yasiyokuhusu mkuuHili goli linarudi
Litakuwa limeingia huko nyuma mwikoBrunoooo gooooal simba 2-2 singapore
Hao wengine wote ni wachumbaHiki ni moja ya vibarua vigumu bado Azam na Uto
Mpira hauendi hivyo.Makali yake yamepungua sana.
Mchezaji anaeujua atabaki kuujua tu, Miq anaujua mpira na kinachomsumbua kila mtu anakijua.Sawa, tumpe muda basi
Aahaaaa,naona Karia anawatafutia ubingwa wa kufa na kuponaNdiyo hivyo!!!