Utopolo huyo asikuchosheMnataka nini?
Tuache kulalamika
Utopolo huyo asikuchosheMnataka nini?
Tuache kulalamika
Yeah ana nguvuMwili wake unaruhusu
UlisemaGoooooooooal
Kibu leo anacheza kifala sana. Atolewe
Kwahiyo kutoa assist ndiyo hamfanyi kukosea? Angalia tena mechi utaona makosa ya KibuHujui mpira..ile assist hukuiona
Kweli kabisa wote Tumeona.Hiki game simba anapigwa kimoja au droo inawahusu.
Limetukuta tayari mtani Ni full shangwe! Points tatu muhimu.Lolote liwakute mtani
Hongera mtaniLimetukuta tayari mtani Ni full shangwe! Points tatu muhimu.
Nb: Sema hii baridi ya kileleni Ni kali.
MWIKO wa mbarali umekunasia hebu uchomoeMakosa ya kimaamuzi yameinyima Singida Big star goli la pili.
Marefa wetu wameendelea kuinufaisha Simba kwenye kufunga goli au kufungwa goli.
Tukumbuke katika mechi ya Simba na Prison Goli alilo funga John Boko lilikua offside iliyo amuliwa kuwa on side.
Kwasasa tunasubiri mechi zijazo za Simba ambazo zimeonekana kuendelea na magoli ya utata na mapungufu ya kibinadamu.
hatari ipi?? walete hao utopolo wenzio tuwat0mbee€€€ kavu kabsa tena kibuuuu akianzaBado tukiwa hatuna mpira hatufanyi pressing kabisa. Tunashinda lakini bila mabadiliko tutaadhibiwa kimataifa. Technically ni muhimu kufanyia tathimini benchi la ufundi ili kuelewa changamoto waliyonayo. Tunafurahi lakini tuna hatari kubwa mbele.