FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

Simba bado kuna shida ya a pure defensive midfield (a pure namba 6) caliber ya Lwanga Fraga au Kotei. Kuwategemea Ngoma Kanoute n Mzamiru ni risky sana.
Uongozi ufanyie haraka hili tatizo otherwise tutaenda kuumbuka huko kimataifa
 
Unachosema ni kweli lakini nafasi hiyo Kwa Sasa haipo mpaka dirisha lifunguliwe.
 
Aisee Mikia mna manenoo....

Hahhh!!!!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Simba bado kuna shida ya a pure defensive midfield (a pure namba 6) caliber ya Lwanga Fraga au Kotei. Kuwategemea Ngoma Kanoute n Mzamiru ni risky sana.
Uongozi ufanyie haraka hili tatizo otherwise tutaenda kuumbuka huko kimataifa
Naunga mkono hoja πŸ‘πŸ‘
 
Simba bado kuna shida ya a pure defensive midfield (a pure namba 6) caliber ya Lwanga Fraga au Kotei. Kuwategemea Ngoma Kanoute n Mzamiru ni risky sana.
Uongozi ufanyie haraka hili tatizo otherwise tutaenda kuumbuka huko kimataifa
Hili limeimbwa sana ila wenye timu wamepuuza huu wimbo.

CAPO DELGADO
 
Simba bado kuna shida ya a pure defensive midfield (a pure namba 6) caliber ya Lwanga Fraga au Kotei. Kuwategemea Ngoma Kanoute n Mzamiru ni risky sana.
Uongozi ufanyie haraka hili tatizo otherwise tutaenda kuumbuka huko kimataifa
Kidooogo umeona kitu hili suala lipo wazi mimi huwa najiuliza mbona jamaa wakija huwa hawakai wanatemwa? Shida ni uongozi kutokujua kazi ya hawa jamaa au ni nini mfano Kotei na Lwanga shida ilikuwa nini? Ukiangalia nikweli tunashida hilo eneo timu ikiwa inashambuliwa tunakosa mzima switch kabla ya nyumba kuungua inaumiza kiukweli.
 
Pamoja na ubovu huu wa Simba lakini Yanga haioni ndani!! Sisi tunasema Simba ni mbovu maana tumelimiss pira birian tulilolizoea!! Lakini Simba hii ni nzuri mno ikilinganishwa na ile timu ya "wananchi'!
 
Shida ya Simba ni kocha kwenye team selection
 
Selection ya timu kocha ni shida na yanga waombe tuendelee na huyu kocha siku akiondoka na squad hii wallah goli watu watapigwa sita kwenda juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…