Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazi. Haiwezekani timu hata ikishinda na yenyewe lazima ifungwe.pengo la Inonga linaonekana
😅😅😅🤪🤪🤪NAONA SIMBA MMEKUBALIANA UTARATIBU WA KUWA MNASHINDA ILA HAMWONESHI FURAHA.
Unachosema ni kweli lakini nafasi hiyo Kwa Sasa haipo mpaka dirisha lifunguliwe.Simba bado kuna shida ya a pure defensive midfield (a pure namba 6) caliber ya Lwanga Fraga au Kotei. Kuwategemea Ngoma Kanoute n Mzamiru ni risky sana.
Uongozi ufanyie haraka hili tatizo otherwise tutaenda kuumbuka huko kimataifa
Aisee Mikia mna manenoo....Timu Ina shinda, kocha wetu ni mzuri kwa mbinu, mapungufu take makubwa ni kung'ang'ania wachezaji Kama Saidoo pamoja na kufunga Mara nyingi akipata mpira anawaza yeye binafsi badala ya timu, Kibu Dennis naye hivyohivyo, Mzamiru anapoenda kukaa na mpira pia akipewa pasi lazima arudishe ilipotoka na maamuzi take ya mwisho sio sahihi.
Niko kubahatisha Mara moja sio kigezo cha kuwaweka benchi kina Phiri na Baleke. Ally Salim bado anahitaji kujifunza makosa take makubwa ni kushindwa kupangua mpira nje ya goli na makosa ya kujirudiarudia hasa kumkosea timing.
Ila yanga wasahau mpaka Disemba tutakuwa tunaongoza maana vigingi vyao vyote tunavikwepa
Naunga mkono hoja 👍👏Simba bado kuna shida ya a pure defensive midfield (a pure namba 6) caliber ya Lwanga Fraga au Kotei. Kuwategemea Ngoma Kanoute n Mzamiru ni risky sana.
Uongozi ufanyie haraka hili tatizo otherwise tutaenda kuumbuka huko kimataifa
🤣🤣🤣😂😅😅😅🤪🤪🤪
Hili limeimbwa sana ila wenye timu wamepuuza huu wimbo.Simba bado kuna shida ya a pure defensive midfield (a pure namba 6) caliber ya Lwanga Fraga au Kotei. Kuwategemea Ngoma Kanoute n Mzamiru ni risky sana.
Uongozi ufanyie haraka hili tatizo otherwise tutaenda kuumbuka huko kimataifa
Kidooogo umeona kitu hili suala lipo wazi mimi huwa najiuliza mbona jamaa wakija huwa hawakai wanatemwa? Shida ni uongozi kutokujua kazi ya hawa jamaa au ni nini mfano Kotei na Lwanga shida ilikuwa nini? Ukiangalia nikweli tunashida hilo eneo timu ikiwa inashambuliwa tunakosa mzima switch kabla ya nyumba kuungua inaumiza kiukweli.Simba bado kuna shida ya a pure defensive midfield (a pure namba 6) caliber ya Lwanga Fraga au Kotei. Kuwategemea Ngoma Kanoute n Mzamiru ni risky sana.
Uongozi ufanyie haraka hili tatizo otherwise tutaenda kuumbuka huko kimataifa
"mwananchi" utamjua tu!Ameflop,kiwango kimeshuka
Shida ya Simba ni kocha kwenye team selectionPamoja na ubovu huu wa Simba lakini Yanga haioni ndani!! Sisi tunasema Simba ni mbovu maana tumelimiss pira birian tulilolizoea!! Lakini Simba hii ni nzuri mno ikilinganishwa na ile timu ya "wananchi'!
Selection ya timu kocha ni shida na yanga waombe tuendelee na huyu kocha siku akiondoka na squad hii wallah goli watu watapigwa sita kwenda juuTimu Ina shinda, kocha wetu ni mzuri kwa mbinu, mapungufu take makubwa ni kung'ang'ania wachezaji Kama Saidoo pamoja na kufunga Mara nyingi akipata mpira anawaza yeye binafsi badala ya timu, Kibu Dennis naye hivyohivyo, Mzamiru anapoenda kukaa na mpira pia akipewa pasi lazima arudishe ilipotoka na maamuzi take ya mwisho sio sahihi.
Niko kubahatisha Mara moja sio kigezo cha kuwaweka benchi kina Phiri na Baleke. Ally Salim bado anahitaji kujifunza makosa take makubwa ni kushindwa kupangua mpira nje ya goli na makosa ya kujirudiarudia hasa kumkosea timing.
Ila yanga wasahau mpaka Disemba tutakuwa tunaongoza maana vigingi vyao vyote tunavikwepa
Unachofanya ni kama kumpinga baba hoja zake nyumbani. Kikwetu utaitiwa wazee,refa ndo mwamuzi wa mwisho .Na wewe Mtani unakubali kwa roho moja kuwa futa limemwagika Mtani? 😎
Mbona kama refa kalazimisha limwagike.
Hahahaaa. Sawa Mtani.Unachofanya ni kama kumpinga baba hoja zake nyumbani. Kikwetu utaitiwa wazee,refa ndo mwamuzi wa mwisho .