Kidooogo umeona kitu hili suala lipo wazi mimi huwa najiuliza mbona jamaa wakija huwa hawakai wanatemwa? Shida ni uongozi kutokujua kazi ya hawa jamaa au ni nini mfano Kotei na Lwanga shida ilikuwa nini? Ukiangalia nikweli tunashida hilo eneo timu ikiwa inashambuliwa tunakosa mzima switch kabla ya nyumba kuungua inaumiza kiukweli.