FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

Game On..

Dakika ya 74'
Singida Fountain Gate 1 - 1 Simba Sc
 
Hakuna utofauti Juzi pia si tulicheza hivi hivi kwa mzambia au tumesahau jaman huu ni ujinga kila siku tunajitia moyo kama Watoto wa Kuku wanaambiwa kunyonya kwa mama yao.....
Bhna robetinho aende zake bhna
Wewe Robertihno ni kocha la dunia,haendi popote
 
Chama nje
Hapo ndipo mashabiki huwa hatumwelewi huyu kocha!! Unamtoaje Chama muda mfupi tu baada ya goli kusawazishwa? Chama ana uwezo binafsi unaoweza kubadili matokea muda wowote, na ni mpiganaji asiyechoka wala kukata tamaa!! Tukubali tusikubali hapa hatuna kocha!! Viongozi wanatumia hekima tu kumsemea vizuri maana bado ni kocha wetu!!
 
Kitendo Tu cha chama kua uwanjani faida Kwa Simba
 
Back
Top Bottom