FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

Haters wa matokeo ya leo chukueni hiyo
 
Gap la Point 3 kwa 2 Kileleni.

Bado tuna muda wa kuvimba sana hapo kileleni.
Tunawasikilizia
Logopit_1684650559679.jpg
 
Na watajuta kweli. Wangeialika Yanga, muda huu wangekuwa wanasubiria tu kuona pira burudani, badala ya pira papatu papatu.
Mbona mnafosi timu yenu ialikwe, mmewatumia mpaka kina Katia na mwanafa kuomba nafasi Ila utaratibu ni uleule mnatakiwa kuonyesha ubora mfululizo na sio kubahatisha Mara moja.
 
Hii Simba ya Robertinho ndiyo Simba mbovu kuliko zote ukitoa ile ya 1989. Timu haina kasi, haijui kujipanga, haifunguki, haikabi, wachezaji hawana skills kabisa. Hilo benchi la ufundi liondoke kabisa.
Uongooo
 
Back
Top Bottom