FT: Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League | A.H.Mwinyi Stadium | 06.02.2024

Simba B ( Rage ) Vs Simba A ( Mo)

Baba na mwana kazi kweli kweli
 
Huyu kipa script kaitendea haki ila mpira unampitia hapo hapo na anautazama tu halafu sio shuti kali bila hata aibu
Kuna mipira ya akili unaweza fungwa watazamaji wakahisi hujui kudaka.
 
Hili goli kipa kauzwa vizuri.
Kauzwa au kaachia? Mpira unapita mbele yake na anautazama wakati uwezo wa kunyosha mkono au mguu upo au ili ku clear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…