FT: Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League | A.H.Mwinyi Stadium | 06.02.2024

Katika zile 4 zilizoongezwa...Bado dakika 1

Unaweza kubeti online kuiwekea Tabora

Bado muhindi anaitaka hiyo buku yako
 
Tangu mwanzo niliamini hii mechi nyepesi na inshaAllah imekuwa hivyo. Next ni Kirumba vs Wauza ukwaju, mechi itakuwa ngumu ila 3pts tutachukua.
 
Deal done. Makubaliano ya Simba na Tabora utd ya kuiogopesha Azam Fc yamefanikiwa.
 
Kama inaumiza subiri marudio utazame huenda matokeo yakabadilika. TBC wanaweza rusha marudio. Usisahau kubeti.
Rage anafanya kazi nzuri tumpongeze wana lunyasi
 
Ndio lengo la script ya leo, ukiangalia goli la Freddy utaona kwamba kipa alikuwa anauwezo wa kuucheza mpira kwa miguu ila kaacha. Ni maelekezo toka juu.
Ule mpira umepigwa kiufundi na kwa mahesabu makali

Joseph na crew yake ile hawaiwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…