FT: Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League | A.H.Mwinyi Stadium | 06.02.2024

Kulingana na namna simba wamecheza mechi mbili hz za ligi vipi mnaona kama wamejipata au bado tuwape muda
 
Niwakumbushe tu TABORA huwa wanafika golini ile sio mashujaa kwahiyo wanasimba mkae kwa kutulia kwa mtakachokutana nacho
Washabiki wa Yanga ni viumbe wa tofauti nimejifunza hii kitu.

Yani kweli nyie ndo wananchi halisi wa nchii hii nzuri yenye watu wa hovyo.
 
mmekuja?
 
Washabiki wa Yanga ni viumbe wa tofauti nimejifunza hii kitu.

Yani kweli nyie ndo wananchi halisi wa nchii hii nzuri yenye watu wa hovyo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wale ambao walisema wanaangalia mechi na mademu zao wakati wakishangilia Tabora

Inawezekana matokeo yamefanya wabadili hoby wamehamia jikoni kufanya upishi
Nimecheka sana
 
Simba ninayoijua Mimi Bado Sana .
Ushindi WA ngekewa tu huu .
Kwa Mpira huu Azam anaenda kutukanda za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…