Mamadou naona msimu huu amerudi akiwa na ndevuKazi ya kufunga kwa Yanga ni ya kila mchezaji. Leo mchezaji aliyeombwa msamaha anadhihirisha kuwa alistahili kuombwa msamaha maana bila yeye timu ina struggle haswa.
Hili neno "Sandarusi" limenifurahisha sana.Kwa gwede uto wameuziwa mbuzi kwenye sandarusi
Unamaanisha Doumbia?Mamadou naona msimu huu amerudi akiwa na ndevu
Huo ni mkwara mbuziWangese tuu hao...Simba haiwezi kuruhusu hili...huyo kama ni shabiki atakua wa utopolo..hHahaaaa
Sasa mmesajili wa nini mtu ambaye mbali na kufunga kitu ambacho hakiwezi hana msaada mwengne wowote uwanjani.Kazi ya kufunga kwa Yanga ni ya kila mchezaji. Leo mchezaji aliyeombwa msamaha anadhihirisha kuwa alistahili kuombwa msamaha maana bila yeye timu ina struggle haswa.