FT: Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League | A.H.Mwinyi Stadium | 06.02.2024

Kumamake simba mnafunga hadi timu ya nyumbani?

Maanina wallah.
 
Kipimo kizuri ni tar 9,kanjibai hana helaya kuwapa azam,makolo mnaona wenyewe kua timu hamna msijifariji
 
3 bila hukoooo..
 
Sasa mmesajili wa nini mtu ambaye mbali na kufunga kitu ambacho hakiwezi hana msaada mwengne wowote uwanjani.

Chama ni mwamba haswa mkuu
Kwanini unssema hana msaada wakati anaweza kupiga pasi na kukaba? Atakuwa anasaidia timu kwa majukumu mengine mengi tu.
 
My wetu leo anajifariji,sasa hii ndio timu ya kuwapa mil 42 ili iwaachie?
 
Mtani tatizo ni mechi ifuatayo ya NBC mtatoboa kweli? Naomba kukumbushwa kwanza itakuwa kiwanja gani?
Azam tunampasua kirahisi sana mtego wa ratiba tuliomuwekea ameingia mazima
Mechi inachezwa CCM Kirumba, Mwanza
 
Sasa mmesajili wa nini mtu ambaye mbali na kufunga kitu ambacho hakiwezi hana msaada mwengne wowote uwanjani.

Chama ni mwamba haswa mkuu
Kuna hawafatilii mchango wa CHAMA ...
Kuna siku mechi inamkataa, ila huyu jamaa huwa ana mchango sana mechi nyingi tu...lazima tukubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…