FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

Nimepitia comments zako kwenye uzi huu, nimefikia hitimisho kuwa inaonekana unaichukia sana Simba SC 😒
sio simba tu hadi marefa wanao ibeba kibwege bwege niko nao moto balaaa
 
Alitukusanyia utamu wa nyuma mwiko,azam,black stars na wake tabora then katupea leo wote!! Simba full kukojoa tu, kaunganisha bao tatu zote. Kumbe ukikusanya utamu sehemu nyng unakuwa mtamu sana hahaha
nawe umekusanya leo kwa ajili ya mwananchi
 
πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
Heshima kwako magnifico mimi na binti kiziwi tunasema ahsante sana kwa upendo. Tunarudisha upendo huo mara 1000 πŸ₯°
 
Narudia tena..sioni

Hujui mpira..hii mechi haikuwa na presha?!
Usikurupuke mkuu, angalia muda mutale alioingia na Simba ilikuwa ikiongoza goli ngapi halafu jihitimishie kuwa presha kama ilikuwepo au la.
 
Kuna watu wanatamani kusema Tabora mbovu ila wakikumbuka🀣🀣🀣🀣
Tabora sio Timu tishio yaani ushabiki naweka pembeni ni WA kawaida magoli ya Yanga yote yalipitia kwa nkane Kocha anaangalia Tu ....WA kawaida au niseme ni Timu ya upepo kama Man u ya EPL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…