FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

Hawa tabora united wanajifanya wajanja, wanatamba sana kuwa watailambisha asali simba. Pamoja na matumbaku yao wanyukwe bao zisizopungua tano ili washike adabu kwa simba. Simba si yanga wafahamu hilo. Yule msemaji wao mwanadada christina anatamba sana kuwa watatoa kichapo kwa simba kama walivyotoa kwa yanga na azam
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Simba inaendelea kuwa bora sana. Huyu kocha wampe mkataba wa miaka 5 ndo waanze kumfikiria tena
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom