FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

Kiukweli mimi ni shabiki wa Yanga na timu yoyote itayocheza dhidi ya Simba. Kiufupi hata ikitokea hawa mabinti wa JF akina binti kiziwi na Bantu Lady wameunda timu yao wakacheza na Simba mimi nitawashangilia tu.

Nafurahi zaidi Simba wanavyofungwa kuliko Yanga wanavyoshinda.
Mie mautopolo yakicheza game na wachawi mie ndo nakuwa lichawi likuu.
 
Soka safi kabisa leo linapigwa hapa,tabora wanacheza na simba wanacheza mbabe ndiyo ataondoka na point
 
SimbaSC NguvuMoja 🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
 
Hawa ndio nyuki waliowauma Utopolo 🐸 🐸?
 
Back
Top Bottom