FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Nadhani pia timu kutokuwa na malengo ya mechi, ni kama vitu vinajipanga uwanjani, timu ya Misri kaingia 16 bora bila kushinda mechi hata moja, yeye katoa droo zote.
 
Kweli kabisa,Ni Muda wa kuandaa damu changa Kwa matumizi ya baadae.
 
2M yenyewe na kipato cha papatu papatu, kama sio moyo mgumu ningekuwa nishakufa kwa presha kwa kweli, siku 2,3 hizi nilikuwa duniani sipo ahera sipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha fix, kipato cha apeche alolo upoteze 2M ktk betting, bado hujanidanganyaa bhana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si Sare, mie sijashinda na wee hujashinda pia.
Nweiii Rhumba imeenda 16 bora, Singeli je??
Ilikuwa battle la watengeneza vumbi na wanunua vumbi..

Sio maneno yangu Ni Ujugu huyo
 
Kwa hiyo angeenda tungerudi na kombe?
Kama ni kweli Mimi naweza kusema hii itakuwa roho za kibongo za kuzibiana fursa na hii inaadhiri Hata tusiwe na wachezaji wengi ulaya Kwenye ligi kubwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…