FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Mechi vs Zambia was a deal breaker. Huwezi kuwa na numerical advantage halafu unacheza utopolo wa namna ile. Unarudisha mpira nyuma kila dakika, Fei Toto na Himid ni middle wazuri ila back passes kila wanapopata mpira ulikuwa upumbavu mkubwa. Had we won vs Zambia we'd have qualified for knock out stage.

Mzee mwinyi atengue kauli zake before it's too late.
Nadhani pia timu kutokuwa na malengo ya mechi, ni kama vitu vinajipanga uwanjani, timu ya Misri kaingia 16 bora bila kushinda mechi hata moja, yeye katoa droo zote.
 
.
 

Attachments

  • 3AB617D8-DEBF-4B7D-9316-642C2D101368.jpeg
    3AB617D8-DEBF-4B7D-9316-642C2D101368.jpeg
    199.2 KB · Views: 3
Bora wangemchukua yule dogo wa yanga aliesajiriwa majuzi hapa shekhan kama sikosei, dogo ana ujasiri wa kupiga mashuti. Muda wa kufosi goli anapelekwa uwanjani anaweza akaotea moja ya maana, kwa kusema kweli viungo na washambuliaji sijaona hata mmoja aliepiga shuti la maana, cha kusikitisha zaidi sioni kizazi cha wafungaji wa kuokoa jahazi next afcon. Asilimia kubwa ya wachezaji watakua hawa hawa tu. Mabeki ukimtoa tshabalala ambae umri wake halisi una utata kidogo wengine wote watakua kwenye umri sahihi kwaiyo wakirudi hao hao sio mbaya ila kule mbele ndio sioni kizazi cha kuwa-replace samata na msuva. Next afcon tumaini letu litakua shekhan, yanga wamtunze vizuri yule dogo.
Kweli kabisa,Ni Muda wa kuandaa damu changa Kwa matumizi ya baadae.
 
2M yenyewe na kipato cha papatu papatu, kama sio moyo mgumu ningekuwa nishakufa kwa presha kwa kweli, siku 2,3 hizi nilikuwa duniani sipo ahera sipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha fix, kipato cha apeche alolo upoteze 2M ktk betting, bado hujanidanganyaa bhana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si Sare, mie sijashinda na wee hujashinda pia.
Nweiii Rhumba imeenda 16 bora, Singeli je??
Ilikuwa battle la watengeneza vumbi na wanunua vumbi..

Sio maneno yangu Ni Ujugu huyo
 
Kwa hiyo angeenda tungerudi na kombe?
Kama ni kweli Mimi naweza kusema hii itakuwa roho za kibongo za kuzibiana fursa na hii inaadhiri Hata tusiwe na wachezaji wengi ulaya Kwenye ligi kubwa .
 
Back
Top Bottom