FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Inshu sio fair Tu Bali kanda zilizokua dhaifu nazo zinaanza kuamka kisoka ..
Zamani tulikua Chini kisoka Ila sahivi walau hata kufuzu AFCON sio story kubwa hata vilabu vyetu kimataifa vinafanya poa hii inampa tabu mwarabu...
Kumbuka Ile methali
Mjinga akielimika mjanja yu mashakani
 
Wewe una idea ya kitu kinachoitwa mpira ila hakuna unachojua. Acha vitu vitokee vyenyewe tusiletee ushabiki mfu
 
Beki na kiungo yote ingejitoa Kama huyu mwamba tusingefungika kirahisi .
 

Attachments

  • 4CA55387-D653-4BC8-A83D-A7BEC10EEAD5.jpeg
    1.5 MB · Views: 1
Nakazia
 
Kwakweli mpira unauma kuliko mapenzi, unaumia na unaumia tena na tena huna cha kufanya huwezi ingia uwanjani nyie haya maumivu hayaelezeki.

Ati mapenzi yanaumiza? Kwa lipi? Mpenzi akizingia na tafuta mwingine ila goli likifungwa limefungwa labda liwe limefungwa kimakosa.
 
Leo sijui nisimame na nani aisee maana Mimi ni Mtanzania mwenye asili pure Kabisa ya kikongo
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…