FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Hii Taifa Stars pasua kichwa sana. Tokea ishindwe kufunga timu yenye wachezaji 10 siiamini tena.
 
I can’t imagine tuna nini ?? KIKOSI Chetu ni kauka ni kuvae Kama Simba . Tuna a lot of players wapo nje . Kocha kama Ana mental retardation . TFF organization should be dismantled . Wamekaa wajinga tu . Mgunda nae akili hana , yani wtf
 
Nje ya mada, hivi Mangungu, Jaribu Tena na Kajula wanajua hali ya afya ya Inonga au wamebaki kutunanga wakosoaji tu? Wenzao wakisikia mchezaji wao kaumia tu wanashtuka na wanataka hata wamchukue wakamtibu. Sisi mchezaji anavuja damu kama mzoga, tupo kimyaaa, akirudi anakaa nje miezi 6 huku akijitibu
Hakuna viongozi pale
 
KAMATUKIWAKI

1.Kama tukiwafunga Congo na Morocco akamfunga Zambia; Tanzania na Morocco zitafuzu.

2. Kama Congo atamfunga Tanzania na Zambia Akamfunga Morocco basi Zambia na Congo zitafuzu.
 
Back
Top Bottom