FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Kwakweli mpira unauma kuliko mapenzi, unaumia na unaumia tena na tena huna cha kufanya huwezi ingia uwanjani nyie haya maumivu hayaelezeki.

Ati mapenzi yanaumiza? Kwa lipi? Mpenzi akizingia na tafuta mwingine ila goli likifungwa limefungwa labda liwe limefungwa kimakosa.
Nimekupenda bure ungekua hujaolewa ningefanya modification ya Jina lako la ukoo
 
Tanzania 0-3 Congo. Chukueni hii wazee wa kubeti
Wanasema ikishinda Stars imeshinda Simba basi km ni hivyo wafungwe tu

Yaan Stars ikishinda leo Simba ndio wanapewa sifa, km ni hivyo wafungwe hata 10 wamalize warudi tupige story vijiweni
 
Heee, kumbe kweli.

Sasa hii hela si bora ingetumika kusaka vipaji huko mwakaleli, uwepo utaratibu wa kutengeneza na kulea hivyo vipaji ili kuwa na timu imara miaka mingi ijayo.
Stars wakishinda Simba wameshinda sababu eti wamevaa Logo ya Sandaland, wafungwe tu
 
1 manula
2 lusajo
3 m.hussein
4 mzee wa mashuka
5 mwamnyeto
6 novatus
7 msuva
8 mudathir
9 samatta(huyu basi tu ila)
10 morice
11 kibu D fighter[emoji16][emoji16][emoji16]

Lengo hasa ni hapo kwenye 6 na 8 tupate watu wanao idea ya kupeleka mpira mbele

Inonga baka utakua mtihani mno ila ngoja tuone
Inonga si majeruhi? Alipigwa mbanga ile siku

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Kimsingi katika kundi hili, Tanzania ilikuwa na uwezo wa kutoka sare mechi moja na kushinda moja. Mategemeo yalikuwa kumfunga Zambia halafu sare na DRC.

Kama TZ itamfunga DRC leo itakuwa ndani ya mategemeo yale yale isipokuwa tu huo ushindi ulikuwa mrahisi zaidi katika mechi na Zambia.
 
Nje ya mada, hivi Mangungu, Jaribu Tena na Kajula wanajua hali ya afya ya Inonga au wamebaki kutunanga wakosoaji tu? Wenzao wakisikia mchezaji wao kaumia tu wanashtuka na wanataka hata wamchukue wakamtibu. Sisi mchezaji anavuja damu kama mzoga, tupo kimyaaa, akirudi anakaa nje miezi 6 huku akijitibu
 
Back
Top Bottom