Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Haina shida ila mkeka mpe mayeleKhaaa uzi upi ni upi?
Any way wish yangu ni ile ile kila la heri Taifa Stars....
Wakitoa draw je?😂😂Tanzania akimfunga congo mnibaqe
Wameahidiwa mkwanja wa bilioni 1.3 wakishinda, so watakamilisha ratiba ila hizo hela hawapati maana wapigwa mapema tu 😂Wakamilisha ratiba Fc
Haha watapaki zao mabegiWameahidiwa mkwanja wa bilioni 1.3 wakishinda, so watakamilisha ratiba ila hizo hela hawapati maana wapigwa mapema tu 😂
Hakuna viongozi paleNje ya mada, hivi Mangungu, Jaribu Tena na Kajula wanajua hali ya afya ya Inonga au wamebaki kutunanga wakosoaji tu? Wenzao wakisikia mchezaji wao kaumia tu wanashtuka na wanataka hata wamchukue wakamtibu. Sisi mchezaji anavuja damu kama mzoga, tupo kimyaaa, akirudi anakaa nje miezi 6 huku akijitibu
HahahahahahaSubirini kufungwa, mrudishe makomwe nchini
Wajomba zangu leo wamepaniaKikosi cha DR Congo fiston mayele kaanza leo
View attachment 2881904