Ushafungwa wewe utakua ni SimbaNaogopa kuangalia hii mechi....yaani presha tupu
Mashabiki wa Simba wamejaa Banda umiza hakuna hata pa kuweka Mguu subiri mpira uisheMama Joy anashabikia Tanzania leo
Kalale tu πNaogopa kuangalia hii mechi....yaani presha tupu
KabisaTukishinda hii game.
Zambia akapigwa.
tumepita tayari
Backpass za kutosha umfunge Congo?Watoto wa mama kizimkazi watatoboa leo, tumewasimanga sana
Jua tu Mayele lazima ateteme labda maswahiba wake wa zamani kina Baca wamvunje miguu dakika 3 za mwanzoMpaka muda huu TANESCO hawajarudisha umeme toka walipokata mida ya saa 2 asubuhi. Sijui hatima ya mechi hii nitaangaliaje
Taifa stars ikishinda atapita bila kujali matokeo ya Zambia vs MoroccoTukishinda hii game.
Zambia akapigwa.
tumepita tayari
Ukishinda na njaa labda hivi Congo mnawachukulia poa nyinyi?Kabisa
ππππππUshafungwa wewe utakua ni Simba