FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Wapenda mpira kazi mnayo.
Si mliambiwa mtoe wote wanaoichezea mama wa kambo ???? Simba hiyo. Hamkuelewa. Subirini sasa muone.
 
Kocha wa DRC nae hana akili labda Kwa sababu matokeo yanamlinda ila asingemuanzisha Mayele.

Sababu ni Moja tuu kwamba kisaikolojia wachezaji Wetu wamecheza nae wanamjua so Wana confidence,yule Makambu angecheza badala ya Mayele.

Naona wamemuingiza Bakambu Sasa utaona kama goli halipatikani
 
Pasi nyingi...kama tunaongoza hv
tunamiliki mpira hatuna hata shot moja golini, Wachezaji hawana ujasiri kabisa wa kupush mashambulizi mbele wanacheza nyuma tu pasi nyingi sana, Kocha ka relax haoni kwamba dakika ya 70 hamna hata shot afanye sub amekaa tu, wenzetu washabadili wachezaji kama wa 4
 
Kocha wa DRC nae hana akili labda Kwa sababu matokeo yanamlinda ila asingemuanzisha Mayele.

Sababu ni Moja tuu kwamba kisaikolojia wachezaji Wetu wamecheza nae wanamjua so Wana confidence,yule Makambu angecheza badala ya Mayele.

Naona wamemuingiza Bakambu Sasa utaona kama goli halipatikani
Mayele anapaswa achezewe dakika za 70+ kama mechi iliyopita
 
Kocha wa DRC nae hana akili labda Kwa sababu matokeo yanamlinda ila asingemuanzisha Mayele.

Sababu ni Moja tuu kwamba kisaikolojia wachezaji Wetu wamecheza nae wanamjua so Wana confidence,yule Makambu angecheza badala ya Mayele.

Naona wamemuingiza Bakambu Sasa utaona kama goli halipatikani

Nyie ndio wahamiaji

Mchunguzwe
 
Feisali anarudisha kipira nyuma allafu huu babu mzamiru aisee
 
Mpaka hapa , Kongole Taifa stars..!

Ila Wapo Wachezaji Wameonyesha Consistence ya Hali ya juu... Bravo kwao..

Baka
Tshabalala
Aishi Manula

Congo DR ..,Ni Wetu Kbs
 
Back
Top Bottom