FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

Pitch ya kuchezea mbovu, system ya Umeme mbovu, vyoo vichafu kiufupi Tanzania hatujawahi kuwa serious na jambo lolote ni kama tunasindikiza KATIKA Kila kitu
Hata old Trafford vyoo ,mabafu ni vichafuu balaa na uwanja unavuja maji mvua ikinyesha ....

Ni changamoto za kawaida tu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pitch ya kuchezea mbovu, system ya Umeme mbovu, vyoo vichafu kiufupi Tanzania hatujawahi kuwa serious na jambo lolote ni kama tunasindikiza KATIKA Kila kitu
Tatizo wanajenga viwanja vikubwa sana

Wangejenga viwanja size ya Azam Complex

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Itakua mkuu..mwaka gani?
Friendly match kati ya Bafana Bafana na Taifa Stars. Pitso Mosimane alikuwa kocha wa Bafana wakati Taifa Stars ikiwa chini ya kocha bora sana, kocha wa soka la kukimbiza kipindi cha pili Mdenmark, JAN POULSEN.

Mechi hii ilikuwa muhimu sana kwakua ndio makubaliano ya ushirikiano kwenye sekta ya michezo ilikua imesainiwa na Kikwete alikua uwanjani na alikuwa na wachezaji wote wakiimba wimbo wa Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…