Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Lkn mwanga umeongezekaNi gharama kuahirisha, hivyo wameona wacheze hivo hivo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lkn mwanga umeongezekaNi gharama kuahirisha, hivyo wameona wacheze hivo hivo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yaani hii nchi ni balaa.Umenifanya niwaze kuhusu treni ya umeme, si tutalala porini mpaka tusubiri umeme urudi?
Mpka na wewe umekuja kuwapa sapoti lakini wapiii...Kuna muda ni aibu sana kuwa Mtanzania jamani, tchaaah'..!!😂😂
Haya tuendelee hebu..!!
Hata old Trafford vyoo ,mabafu ni vichafuu balaa na uwanja unavuja maji mvua ikinyesha ....Pitch ya kuchezea mbovu, system ya Umeme mbovu, vyoo vichafu kiufupi Tanzania hatujawahi kuwa serious na jambo lolote ni kama tunasindikiza KATIKA Kila kitu
Tatizo wanajenga viwanja vikubwa sanaPitch ya kuchezea mbovu, system ya Umeme mbovu, vyoo vichafu kiufupi Tanzania hatujawahi kuwa serious na jambo lolote ni kama tunasindikiza KATIKA Kila kitu
Yanga walipochukuwa kombe la Cecafa uwanja ulimulikwa na taa za gari, labda ulikuwa shule.Hili ni tukio la karne
Itakua mkuu..mwaka gani?Yanga walipochukuwa kombe la Cecafa uwanja ulimulikwa na taa za gari, labda ulikuwa shule.
Yule Florian Kaijage naye hapo CD ya National Anthem ilikwama akamwagwa.
Meneja wa Uwanja kazi anayo sahiv anajamba jamba huko.
Bado uwanja wa ndege kesho Makam wa Rais wa Mashoga USA akija.
2010 Kama sio 2011 nakumbuka kaseja alikuwa na taa ya cm.Itakua mkuu..mwaka gani?
Friendly match kati ya Bafana Bafana na Taifa Stars. Pitso Mosimane alikuwa kocha wa Bafana wakati Taifa Stars ikiwa chini ya kocha bora sana, kocha wa soka la kukimbiza kipindi cha pili Mdenmark, JAN POULSEN.Itakua mkuu..mwaka gani?