kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Ujue humu tumechanganyikana....!Yanga walipochukuwa kombe la Cecafa uwanja ulimulikwa na taa za gari, labda ulikuwa shule.
Yule Florian Kaijage naye hapo CD ya National Anthem ilikwama akamwagwa.
uwanja wa ndege watakuwa wameshapigiana simuMeneja wa Uwanja kazi anayo sahiv anajamba jamba huko.
Bado uwanja wa ndege kesho Makam wa Rais wa Mashoga USA akija.
😂😂😂Mpka na wewe umekuja kuwapa sapoti lakini wapiii...
Wacha tuu ila tuvumilie bado mechi mbichi😂😂😂
Imagine mama, hata mchango wangu hauthaminiki..!!
AiseeFriendly match kati ya Bafana Bafana na Taifa Stars. Pitso Mosimane alikuwa kocha wa Bafana wakati Taifa Stars ikiwa chini ya kocha bora sana, kocha wa soka la kukimbiza kipindi cha pili Mdenmark, JAN POULSEN.
Mechi hii ilikuwa muhimu sana kwakua ndio makubaliano ya ushirikiano kwenye sekta ya michezo ilikua imesainiwa na Kikwete alikua uwanjani na alikuwa na wachezaji wote wakiimba wimbo wa Taifa.
Nahodha wa Uganda, Emanuel Okwi mwenye miaka 30 anasema wana uhakika wataibuka na alama 3 na kufufua matumaini ya The Cranes kufuzu.View attachment 2568893
tutafika tumechoka sana hatuna hali walaqhi'...🙌Jikaze best....tutafika hivo hivo kama taifa
Kunguru kila siku wapo kwny hizo nyaya leo imekuwaje kunguru tena usiku huu au kunguru wa dar hawalali?.
Huyu nae hapitwiView attachment 2569149
Ana undugu na wema sepetu😳😳😳😳😳okwi kagandisha umri
Azam complex upo