kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Ujue humu tumechanganyikana....!Yanga walipochukuwa kombe la Cecafa uwanja ulimulikwa na taa za gari, labda ulikuwa shule.
Yule Florian Kaijage naye hapo CD ya National Anthem ilikwama akamwagwa.
Watu wazima tupo, punguza kamba dogo..!