Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Meneja wa Uwanja aachie ngazi, ameshindwa kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba wachezaji wanakuwa wengi au.. Nini reason behind hilo tatzo maana hata mchana kivuli kipoUkishaona kivuli cha wachezaji kinaonekana uwanjani ujue ni tatizo.
Upingwe,ila na mengine yawe priorityUshoga upingwe popote haijalishi niwap tetea marinda bint
Kama yeye hana?Ushoga upingwe popote haijalishi niwap tetea marinda bint
Kwa hali hii wamekata wao.. Au huwajui hawa jamaa na wanafanyaga maksud siku za mechi wanakataga UmemeHebu waulize Tanesco wakupe elimu kidogo..
Sio mara zote hukatwa na mtu
Kwani hiyo pesa haiwezi akaipeleka Sehemu nyingine?Huu ni uchawi Sasa, pesa zinatoka kwenye mfuko wa Rais consolidated fund, na siyo pesa za bajeti, hata wasipopewa Taifa stars haziendi popote zinarudii kwenye mfuko wa Rais.
Huyu hakatizi leo usikuMeneja wa Uwanja aachie ngazi, ameshindwa kazi
Inaweza ikawa ni shoti katika Transfomer automatically ikaji switch off...wakija kurekebisha ndo wanawasha au kama tatizo ni la muda inaweza kujiwashaHuwa unakatikaje 😁?
Na bado hawawezi kuachaTumejawa na upumbavu, badala ya kujali miundo mbinu tunathamini kutamka Rais kanunua magoli milioni kadhaa na sifa mama Samia mama Samia! Mpaka mnaleta picha zake uwanjani.
Nchi hii tuache ufala wa kuingiza siasa kila mahali, ni upuuzi
Maybe...Kwa hali hii wamekata wao.. Au huwajui hawa jamaa na wanafanyaga maksud siku za mechi wanakataga Umeme