FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

Huu ni uchawi Sasa, pesa zinatoka kwenye mfuko wa Rais consolidated fund, na siyo pesa za bajeti, hata wasipopewa Taifa stars haziendi popote zinarudii kwenye mfuko wa Rais.
Kwani hiyo pesa haiwezi akaipeleka Sehemu nyingine?
-Rais ana bajeti yake japo haikaguliwi na cag
 
Huyu manager wa uwanja mpaka saiz yupo ofisini?, kesho mapema aandike barua ya kujiuzulu
 
Tumeshasema Mara nyingi hapa.. Mama aachane na team msoga... Ni mafisadi haramia kabisa..

Safi sana

Wamelitia taifa aibu muda mzuri kwelikweli...
 
Tumejawa na upumbavu, badala ya kujali miundo mbinu tunathamini kutamka Rais kanunua magoli milioni kadhaa na sifa mama Samia mama Samia! Mpaka mnaleta picha zake uwanjani.
Nchi hii tuache ufala wa kuingiza siasa kila mahali, ni upuuzi
Na bado hawawezi kuacha
 
Back
Top Bottom