FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

Kwa wasiojua mpira...unaweza kudhani samatta hana msaada...
Mpira wa kisasa ni mipango sana...
Samatta hajalishwa mipira ya maana
Tutolee siasa. Ndo nyie wa mi uzuri wangu uko moyoni as if kuna mwenye mda wa kukupasua auone huo moyo
 
Msimamo
35B9B299-016E-4EE9-9C26-7455B3850B21.jpeg
 
Samata, Msuva washaisha

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Halafu kuna watu wanabeza uwepo wa mtu kama Kibu. Kibu siyo mchoyo, akipata mpira anatafuta mtu anampa nafasi nzuri, hawa kina Samatta na Msuva wanataka wakimbie na mpira wafunge wenyewe. Wamemuambukiza hata Sopu mambo hayo.
 
Back
Top Bottom